Mungu Niokoe Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Mungu Niokoe - KMK MAKUBURI
...
Eeh Mungu uniokoe
maana maji yamefika mpaka nafsini mwangu
eeh mungu uniokoe
nimezama katika matope mengi
pasipo wezekana kusimama nimefika penye maji ya vilindi
mkondo wa maji unanikaribisha
Nimechoka kwa kulia kwangu koo yangu imekauka macho yangu yamedhoofu kwa kumngoja Mungu wangu.
(Eeh Mungu uniokoe.........)
Wanaonichukia bure ni wengi kuliko nywele za kichwa changu
(Eeeh Mungu uniokoe....)
Eeeh Mungu unajua upumbavu wangu wala hukuficha dhambi yangu
(Eeeh Mungu uniokoe.....)