Nenda (feat. Digo Digo) Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Nenda (feat. Digo Digo) - Oko Music
...
(Oko Music)
(Mkwizu on this one baby)
Hivi kwani wewe ni nani
Unaezitesa hisia zangu
Kila kukicha mtaani maneno machafu
Kwani mimi ni nani
Mwanamke gani kila siku skendo
Mwenzako nimefunzwa kwetu upendo
Juzi juzi umesutwa umbea
Na leo tena umeshikwa ungoni
Mama aliniambia
Mwanamke mzuri tabia
Mimi nikang'ang'ania
Kisa uzuri wako na lako kabila
Sheila Leila umeniacha Kijanjaro na Uwoya
Leila Leila umeniacha Kijanjaro na Uwoya
Acha libaki jina
Acha libaki jina
Acha libaki jina
Acha libaki jina
Acha libaki jina
Acha libaki jina
Acha libaki jina
Acha libaki jina
Listen....ukienda moyoni na jina lako kichwani kwangu
Umeondoka wananicheka marafiki zangu
Wananiita jina lako siyo jina langu
Sitaki urudi japo ushakuwaga kwangu
Nenda, nenda salama
Nenda, nenda salama
Kwangu moyo umeridhia
Nenda, nenda salama
Nenda, nenda salama
Kwa mwingine nimetulia
Nimetulia na na na naa
Nimetulia na na na na yeah
Nimetulia na na na naa
Nimetulia na na na na yeah
Acha libaki jina
Acha libaki jina
Acha libaki jina
Acha libaki jina
Acha libaki jina
Acha libaki jina
Acha libaki jina
Acha libaki jina