Umeniacha (feat. Fedolizer) Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Umeniacha (feat. Fedolizer) - Oko Music
...
Jet Records (records records records)
Mmmh mmmh
Mmmmmmmmmh
Mmmmmmmmmh
eeeeh
Tune
Natamani Niende kwa Mganga, Nikafanye Manyanga
Oh Nikuroge weeh Oh Nikuloge, Nikuroge wewe wewe
Haya Maumivu ya Mapenzi Kulizwa Kutoswa Mwenzako Nimechoka aise
Ohh Nimechokaaa ahaa
Nilifanya unavotaka Bado ukaniona Mi taka aise,
Kweli Mapenzi Shikamoo , Shikamoo hiiiiiiii
Umepata umepata Zali La Mentali, Umeniacha Umeniacha kisa mi kabwela
Kapuku Kapuku et Sina Hela ahaaa hayaaaa

Kapuku Kapuku et Sina Hela ahaaa hayaaaa ahaa
Ivi Leo Sina maana , Leo Sina maana miee
Leo Sina maana Leo Sina maana Leo Sina maana.

ahaaaa ahaaaaa eeh eeh
Nimekubaliana na wewe yanini n'kugande unione chawa
Sawa Mshindi wewe umefanya Leo mi napagawa ahaa
Eti unanipiga mateke Shukrani ya punda mi narudishiwa
Umeridhia nihenyeke Maumivu Mwenzako nachahawa ahhh
(aahhh aaah aaaah)
Sio kwamba siwezi Kupata mwingine sababu kwako nishazama kina
Moyoni uko mwiba nahema kwa shida Maumivu ndani yananitafuna
Zingine ni Changamoto acha zipite Najua muda utaja zisahau
japo Niko na msoto we unaponda Raha na mie ushanisahau (sahau sahau)
aaaah eeeh, aaaah eeeh eeeeh
aaaah eeeh, aaaah eeeh eeeeh
aaaah eeeh, aaaah eeeh eeeeh
aaaah eeeh, aaaah eeeh eeeeh
Umepata umepata Zali La Mentali, Umeniacha Umeniacha kisa mi kabwela
Kapuku Kapuku et Sina Hela ahaaa hayaaaa
Umepata umepata Zali La Mentali, Umeniacha Umeniacha kisa mi kabwela
Kapuku Kapuku et Sina Hela ahaaa hayaaaa ahaa
Umepata umepata Zali La Mentali, Umeniacha Umeniacha kisa mi kabwela
Kapuku Kapuku et Sina Hela ahaaa hayaaaa
Umepata umepata Zali La Mentali, Umeniacha Umeniacha kisa mi kabwela
Kapuku Kapuku et Sina Hela ahaaa hayaaaa ahaa
(Umepata umepata Zali La Mentali, Umeniacha Umeniacha kisa mi kabwela
Kapuku Kapuku et Sina Hela ahaaa hayaaaa
Umepata umepata Zali La Mentali, Umeniacha Umeniacha kisa mi kabwela
Kapuku Kapuku et Sina Hela ahaaa hayaaaa ahaa)