Teamo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Teamo - Quick Rocka
...
swiitchh
rocka....quick!!
a a ammy
[verse1]
Kiutani utani
maajabu flani
unipegee
chuumbani mbani
uno un'pnandishe ndege
wahuni na mjani
mi na wangu honey
hizo Dede
utamu flani
mambo flani nkubebe
[hook]
mi nawe Kama mfupa kwa fisi
tope kwa kambale
umenichota kiurahisi
mtoto wa Tandale
unanipenda nasikia raha
gusa palepale
wachawi wanazidi kudiss
tandika tulale mama
te-amo!
[chorus]
Mami we, gusa palepale
te-amo (Mmh)
tandika tulale mama
te-amo
Mami we, gusa palepale
te-amo (Mmh)
tandika tulale mama
[verse2]
chai sambusa
umefunga funga
aii Moto sasa (Moto Moto)
ukinisusa
ukinitupa
balaa pupakacha
usije nijaribia mama nitajifia
mwenzako nakuzimia sana ntaumia
usije nijaribia mama nitajifia (oh wewee)
mwenzako nakuzimia sana
ntaumiaa
[hook]
mi nawe kama mfupa kwa fisi
tope kwa kambale (ah ye ye)
umenichota kiurahisi
mtoto wa Tandale (ah ye ye)
unanipenda nasikia raha
gusa palepale (ah ye ye)
wachawi wanazidi kudiss
tandika tulale mama
te-amo!
[chorus]
Mami we, gusa palepale
te-amo (Mmh)
tandika tulale mama
te-amo
Mami we, gusa palepale
te-amo (Mmh)
tandika tulale mama
nikizunguka ukibinuka
we unakata (mwali! lele lele le)
Mami unakata (chali)
oh baby unakata (mwali)
unavyochuma tembele mama
mizungu unakata (mwali)
oh Mami unakata (chali)
oh baby unakata (mwali, lele lele le)
te-amo!
Mami we, gusa palepale
te-amo (Mmh)
tandika tulale
Mami we, gusa palepale
te-amo (Mmh)
tandika tulale mama
switcher baba!