Lini ft. Rich Mavoko Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Lini ft. Rich Mavoko - King Kaka
...
(intro) whoooo King kaka.......Rich mavokooo
kaka empire baby
CHORUS (Rich Mavoko)
Nikija Nairobi nipeleke java tukanywe kahawa, tucheze na Bobby baada ya hapo si tukule shower,
ntakwona lini weee, ntakwona lini weee ×2
KING KAKA (VERSE I)
Ok, Hey ma niko Dar wee uko far inakaa unanifaa
unataka nini ? mabenz ka Chidi, ila mimi sina ma cent ka fifty, mahaba tuna reng ka mimi, yetu haiozi akiba nipe mwana ka FA au kiba watatu
uko nai wapi street ya Kimathi ntakwona aje niko kwa Bajaji utaenda wakati ila penzi dhati kwa taxi I see mtaa yetu safi
(Chorus)
Nikija Nairobi nipeleke java nikanywe kahawa tucheze na Bobby baada ya hapo si tukule shower
ntakwona lini weee, ntakwona lini weee
(VERSE 2) Rich Mavoko
Me napenda ukicheka una mwanya kwa umbaaaali.
me kwako ushanteka wee manzi mkaaali,
ma sherry hujawai kuniomba Ferrari
ma baby unajua kuongea kungali
nitakuja unigogo niaje anione shosho
We kwangu bi mdogo nidekeze ka mtoto
Chorus)
Nikija Nairobi nipeleke java nikanywe kahawa tucheze na Bobby baada ya hapo si tukule shower
ntakwona lini weee, ntakwona lini weee
(VERSE 3) King kaka
Ok, haaya nimekua na njaa ya me kukucheki
vile love tu imeshika siteti
atapedeshe, chekeshe bora tu (aaah) wasikuhepeshe
Niko Dar uko Nai nikiwa Nai uko Moshi
nikajua tu hawa watoshi
kwani unataka ma push za poshi
Nina noti ntakutumia dhao
uko Kenya wapi ndani ya Naivasha
ntakwona aje au uko Tamasha
utaenda wakati ila penzi dhati taxi I see twenty tau
Chorus)
Nikija Nairobi nipeleke java nikanywe kahawa tucheze na Bobby baada ya hapo si tukule shower
ntakwona lini weee, ntakwona lini weee (Till fade)