Lini ft. Rich Mavoko Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2015
Lyrics
Lini ft. Rich Mavoko - King Kaka
...
Uuuuu king kaka,
aaah Rich mavoko...
kaka empire baby
Nikija Nairobi unipeleke Java nkanywe kahawa
Nicheze na boli baada ya hapo si tukule shower
Ntakuona lini weex2
Okey, hey ma nko dar, We uko far, Na inakaa unanifaa,
Unataka nini, mapenzi ka chidi ila mimi sina mapenzi ka fifty
Mahaba, tunabeng' ka Milly, tu yetu haiozi akiba nipee mwana, ka F A au Kiba wawe watatu ka leaders uko nai wapi street ya kimathi kwa taxi picha yetu safi
Nikija Nairobi unipeleke Java nkanywe kahawa
Nicheze na boli baada ya hapo si tukule shower
Ntakuona lini weex2
Mi napenda ukicheka,
Una mwanya kwa umbali,
Mi kwako ushaniteka,
We manzi ni mkali,
Ma sherrie hujawahi kuniomba Ferrari,
Ma baby unajua ugumu yangu hali,
Nitakuja kwa mikogo,
ili aje anione shosho,
We kwangu kimdogo,
Nidekeze ka motto,
Nikija Nairobi unipeleke Java nkanywe kahawa
Nicheze na boli baada ya hapo si tukule shower
Ntakuona lini weex2
Okey, haya nimekuwa na njaa ya mi kukucheki,
Ni vile love imeshika siteti,
Atapedeshe, wakuchekeshe,
Bora tu ai wasikuhepeshe,
Nko dar uko Nai,
Nkiwa nai uko moshi,
Mi guide wako, hawa watoshi kwani unataka,
Makush za poshi
Nina noti ya kutreat ka hosi,
Uko Kenya wapi ndani ya Naivasha,
Nakuonaje, au uko Tamasha za na wakati ila mpenzi dhati kwa taksi I see
Nikija Nairobi unipeleke Java nkanywe kahawa
Nicheze na boli baada ya hapo si tukule shower
Ntakuona lini weex2