Penzi Lako Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Penzi Lako - Ibrah Nation
...
hatuwez kuachana kirahisi hivi babe! walimwengu Wana visa vingi najua unanipenda aaah na mm nakupenda sana babe*2 babe najua unamipango wa kando unanizingua unaharibu mipango promise zazua maumivu zikivunjika bado sijajuabear unaondoka unakwenda nao mbn siku kama hizi ulinionesha upendo sikuwa na jinsi nikakuamin komando unang'oa mizizi unakatisha pendo hata kwa hirizi huezi ukariziba hili pengo ooh yeah... hatuwezi kuachana kirahisi hivi baby walimwengu wanavisa vngi penzi lako maua maua moyon lanukia nukia mbna unanibagua bagua maumivu unayatambua..penzi lako maua maua moyoni lanukia nukia mbna unanibagua bagua.....hauwez kuondoka kirahisi hivi babe ujue tumepanga mengi