Pilipili Hoho Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Pilipili Hoho - Ibrah Nation
...
yeeeeyaaaah wooooowooo eeeeehehh
Nibaraka mm kukupata wewe maishani mwangu
Mm kukupata wewe ni baraka (yeyeyeye)
Nifaraja mm kukupata wewe maishani mwangu
Mm kukupata wewe ni baraka (Yeeeyee yeee)
Mamy sitojali ulikua na Nani before as long as you love me
Nitakupa vinono
Sina habar nakupenda pasina kipimoo
Penzi lako pili pili linaniwasha vilivyoooo
Hao wangine pilipili hoho hawaniwashii
Tena ligi zao ligi ndogo hawanipatiii yeeeeyaaaah
Pilipili hoho hawaniwashii
Ligi zao ligi ndogo hawanipatiii (haaahaa yeeya)
Nitakuganda Kama ruba uwe mama kwenye nyumba yangu
Usione Kama nakuchunga nakurinda baby
Na janja yaoo naijua watakuteka kwa majumba nataman ungejua aa
Havina saman Kama penzi languuu ooooh baby eyeye
Nipepeee eeeheee
sitojali ulikua na Nani before as long as you love me
Nitakupa vinonoooo
Sina habar nakupenda pasina kipimoo
Penzi lako pili pili linaniwasha vilivyoooo
Hao wangine pilipili hoho hawaniwashii
Tena ligi zao ligi ndogo hawanipatiii yeeeeyaaaah
Pilipili hoho hawaniwashii
Ligi zao ligi ndogo hawanipatiii (haaahaa yeeya)
wawawawawa heheheheeee