Televista (feat. Zikki) Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Televista - Angry Panda Clan
...
she want love anadai za televista anataka akule pizza na me hadi sina dooh
she want love anadai kunimaliza nikifika na giza buda me sikai home
she want love anadai za televista anataka akule pizza na me hadi sina dooh
she want love anadai kunimaliza eeh nikifika na Giza hio ni vita
oh mama oh mama oh mama uooh ooh oh mama oh mama oh mama uooh ooh napenda vile we hutembea
daily nikikuona me huskia manze ni ka napepea
adi ukinikosea naona naeza kuteta kushoto kulia vazi lako likibembea
oh no no nashindwa nitadoo juu mahali imefika naskia manze kumake move na nkufikishe dance floor tukapige ma moves naskia we hupenda dancers hufukusha ma blues eeh eeh zikishika nadai nipotee na we sina ndai lakini nadai tupotelelee walai manze usinideny nataka nikuchai nataka nikifanye mine I'll give you all my loving