Kuskia Poa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Kuskia Poa - Angry Panda Clan
...
Chuchu chuchu
Angry panda under mickey
Yani kuskia poa ata kaa unaokoa
Kile uko nacho ndugu yangu we toa
Fom nikijipa amka katika kile unataka we ndugu itisha
Kuskia poa ndio fom na mtindo
Namjua poa na ananionyesha maringo
Fom mi hutoa naokoa na nko single madam si tu mingle kiuno kwa mtundo
Kuskia poa ndio fom na mtindo
Namjua poa na ananionyesha maringo
Fom mi hutoa naokoa na nko single
Madam si tu mingle kiuno kwa mtundo
Kuskia poa kwangu imekuwa mtindo
Kagani kako single kakuje hapa tu mingle
Kakuwe kameoga kenye kanapenda usafi
Ju mi dirty lazima nichambue mali safy
Aiii
Jaba kinambelu mi ndio drinding machine
Fom ikijipa ni location unapin
Kisuti kindege luku lazima utati
Watoto ni wengi huniitanga daddy
Paka kaluma kama inauma ju vile
Tulianza sidhani tunarudi nyuma
Hehehe
Angry panda kuwaribu doba tunawatibu
Si wako lkini songa na yy jh ako karibu