Niongoze Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Niongoze - Pammy Ramz
...
Maisha ni kama safari ulimwengu barabara nilitoka ni kwako ninarudi ni kwaaaako
Anayejua njia ni weeewe mwanzo na mwisho nilitoka ni kwako ninarudi ni kwaaaaaako......iyaa iyaa iyaa iyaa iyaa
Maisha ni kama safari ulimwengu barabara nilitoka ni kwako ninarudi ni kwaaaaaako
Anayejua njia ni weeewe mwanzo na mwisho nilitoka ni kwaako ninarudi ni kwaako
Niongozeee eeeeh eeeh niongoze Niongozeee eeeeh eeeh niongoze Niongozeee eeeeh eeeh eeeeh eeeh Niongozeee eeeeh eeeh niongooozeeeh eeeh oooh eeeh
Usipolinda mji peke yako waulindao wakesha bure hekima ya mwanadamu ni ujinga mbele zaaako
Usipojenga nyumba peke yako waujengao watoka bure ujuzi ya mwanadamu udhaifu mbele zako
Anayejua njia ni wewe mwanzo na mwisho nilitoka ni kwaako ninarudi ni kwaako
Anayejua njia ni wewe Alfa na Omega nilitoka ni kwako nipeleke nyumbani
(kwa hivyo unioo)
Niongozeee eeeeh eeeh niongoze( oooh ooh eeeh eeeeh)
Niongozeee eeeeh eeeh niongoze
(ooh wewe uniongoze eeeh)
Niongozeee eeeeh eeeh (uniongoze)niongoze(ongoza kanisa lako)
Niongozeee eeeeh eeeh niongoze(ooh mimi mkosefu bila weee mpotefu bila weeewe) niongoze(BABA niongoze)
Niongozeee eeeeh eeeh niongoze(nishike mkono nitembee nawee)
Niongozeee eeeeh eeeh niongoze(BABA niongoze)
Niongozeee eeeeh eeeh niongoze
Anayejua njia ni weeewe mwanzo na mwisho nilitoka ni kwako ninarudi ni kwaaaaaako
lyrics by Naom Kerubo AKA Kadot