Say Yes Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Say Yes - Adasa (KE)
...
hewa hewa hewa.......nanananaaa...... hewa hewa hewa
Napo kutazama kwa macho nataka useme utakacho tubadilishane mawazooo mmmmhhhhh..,...Napata faraja unenapo nakosa faraja uwazapo nikohapa kutimiza utakalooo Ila baby...
Nafahamu fikra weh ndo chaguo langu mwenye kujali hisia zangu Nafahamu fikra weh ndo ubavu wangu eeehh....
Basi nikaribie usiwe mbali Nami(nami) Nikumbatie usiwajali (jali) Ninongonezee
wasiwe nami daddy daddy daddy daddy...*2
.............Say YES......Say YES.....Say YES.......
Nmesubiri Sana siku Kama hii mwenzangu sema ndio nipende Mimi usibadili mawazo aaaaeeeyy......Nilivo kwisha kukuja si namna hii usiniache na kilio fanya hima mpenzi himaaaaa...
Navyo subiri (hunny) Kuna hamu (gani) nataka useme(nami) uliyoficha(hunny) yaweke hatharani yaliyojaa thamani nifurahi jamani nakupenda (walahi)
Basi nikaribie usiwe mbali Nami nikumbatie usiwajali Ninongonezee Basi weh Nani daddy.........*2
........Say YES......Say YES.........Say YES.........Say YES.........