Adasa Lyrics
- Genre:Afro House
- Year of Release:2023
Lyrics
Adasa - Adasa
...
namshukuru maulana
alituleta pamoja
tukapendana mara moja
moja na bado tunasonga
tunafurahia kuwa pamoja
mapenzi yetu yananoga
bila kujali wakibonga
bonga
bonga sisi tunasonga
chaguo langu ni weeeeee
ehhh ehhhh ehi
mpenzi wangu ni weeeee
ehhhhhh chaguo langu ni weeeee
ehhhh ehhhh ehi
mpenzi wangu ni weeeeeee
ehhhhh
instrumental and whistle......
kuja mdzinyi ufumwone
mame na babe tuhaswe
twende nyumbani tukamwone
mama na
kuja mdzinyi ufumwone
mame na babe tuhaswe
twende nyumbani tukamwone
mama na baba
turudi kaya
turudi kaya
turudi kaya
kaya
kaya
turudi kaya
turudi kaya
turudi kaya
kaya
kaya
turudi kaya
turudi kaya
turudi kaya
chaguo langu ni weeeee ehhhh ehi
mpenzi wangu ni weeeee ehhhhh
kuja mdzinyi ufuomwone
mame na babe tuhaswe
twende nyumbani tukamwone
mama na baba
kuja mdzinyi ufuomwone
mame na babe tuhaswe
twende nyumbani tukamwone
mama na baba
instrumental and whistle........