Latifah Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2005
Lyrics
Latifah - Mb Dogg (TZ)
...
maneno meng yamesemwa juu yko
et kuna kitu honie umenifanyia
mganga sio sababu nimekuja kwako
ila Mimi mwenyew nimekuchagua
nakutafuta niiyone sura ykooo
nakutaman niwe kalibu yakoo
kama ni gari ndio mapnmz yawe tait
MB goggy mm nshalinunua
kama salumu beby we ukininimic ni beep beby me ntakupigia
nakutafuta niyone sura yko
nakutaman niwe kalibu yko
aaaahya
bebyeee
yeyeeii
ooooh bebyy
****************************
sema bas unachotaka mammy
sema bas unachotaka honey
honey achana na mawazo yakishetan
ukiniacha me ntabak na nan
ratifa ww ndio tu mammy
ratifa ww ndo tu honey
ratifa ww ndio tu mammy
ratifa ayaaaaa
aiyeeeeeee bebeee
********
vipo vya kushea ila sio mapenz
we ni wangu imeandikwa toka enzi
sema bas kitu gan unatak we sema mrumi me Sina matata
nachotaka we milele uwe wangu
uje nikuite mama wa watoto wangu ukiniacha utaniumiza moyo wangu
Kwan nishaachana na machangu
ndio sharo waache waaone donge
kama mikwanja tutachota kwa tu bonge kilichobak sir God tumuombe tuwapo wawili nyoyo zetu tuzikonge
nachotaka we milele uwe wangu
uje nikuite mama wa watoto wangu
ukiniacha utaumiza moyo wangu
Kwan nishaachana na machangu
************
penz la dhat lati me nitaona
aaahyaaa
penz la uzushi lati me nitajuaaa
aaahyaaa
kumbuka dog man dog nakupenda
ukiniacha man dog man nitakonda
njoo nikiss lady njoo unipe denda
madee anajua
***kama penz langu kwako moyon ni kidonda
aaaahyaa
kama penz langu kwako nguvu za kiganga ahayaaa
kumbuka dog man dog nakupenda
ukiniacha man dog man nitakonda
njoo nikiss lady njoo unipe denda
doggy naumia
ahaaaaayayeyeeeheeeee
sema bas unachotaka mammy
sema bas unachotaka honey
honey achana na mawazo ya kishetan
ukiniacha me ntabak na nan
ratifa ww ndio tu mammy
ratifa we tu honey
ratifa we ndio tu mamy
ratifa
aaahyaaa
writer: shabani ahamad Adolph
dedicated to ratifa ex girlfriend