Si Uliniambia Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2005
Lyrics
Si Uliniambia - Mb Dogg (TZ)
...
Si kwamba tu naimba sometimes huwa nalia
Hofu na mashaka ulipo nakuondoshea
Ulisema waja mnyamwezi nikakungojea
Sema mami sema lini utarejea?
Eh eh eh, I love you ma
Oh oh oh, I love you girl
Eh eh eh, I love you ma
Oh oh oh, I love you girl
Uliposema waja wee mi nikakungojea
Mara muda umepita Abdul Bonge umeshamboa
Hivi kangoja mpaka Mola kamchukua?
Sema mamy sema lini utarejea?
Eh eh eh, I love you mami
Oh oh oh, I love you girl
Eh eh eh, I love you mami
Oh oh oh, I love you girl
Si ulinambia kwamba waja Man Dog Man N'nakungoja
Si ulinambia kwamba waja Man Dog Man
N'nakungoja
Bongo toka ulipotoka miaka Imepita
Sijakuona wangu my darling
Ni mbali huko uliko mi nna mashaka
Nakosa raha kabisa
Penzi lako nkilikosa baby kwangu soo
Ndo mana mi nakwita baby baby kwangu njoo
Nakupa laivu baby unanitesa roho
Ndo maana nnakonda nadata na picha zako
Au ndo ule mfano baby wanipenda roho
Na ile nyama mbichi baby itaniuma roho
Kama ni dili ntazicheza baadae
Kwanza rudi home washangae
Rudi home baby ili wapagawe
Nicheze nawe kuchi kuchi hota hai
Nakusubiri baby, nakungojea mchumba
Nakusubiri nakungoja mchumba usinizuge
Nakusubiri baby nakungojea mchumba
Si ulinambia kwamba waja Man Dog Man nnakungoja
Si ulinambia kwamba waja Man Dog Man
Nnakungoja Bongo toka ulipotoka miaka imepita
Sijakuona wangu my darling
Ni mbali huko uliko mi nna mashaka
Nakosa raha kabisa
Na kama waja niambie baby yee iye
Kama utanitosa mi nijua baby yee iye
Na ndio maana sina jinsi I love you girl
I love you shori everyday
Na ndio maana sina jinsi I love you girl
I love you shori everyday
Si ulinambia kwamba waja Man Dog Man N'nakungoja
Si ulinambia kwamba waja Man Dog Man
N'nakungoja
Bongo toka ulipotoka miaka Imepita
Sijakuona wangu my darling
Ni mbali huko uliko mi nna mashaka
Nakosa raha kabisa