Niambie Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Niambie - Nini (TZ)
...
Ka umemisi pendoooh basi niambie
Kaa ukijua we ndio wa kwangu mie
Basi niambie aaaye basi niambie aaaye
Basi niambie aaaye basi niambie aaaye
Basi niambie aaaye basi niambie aaaye
Basi niambie aaaye basi niambie aaaye
Siwezi ficha ukweli kusema hisia zangu
We ndio maji unayekata kiu kwa kinywa changu
Sihitaji leso kukesha nafuta machozi yangu
Lile jeraha la mapenzi lishakwisha moyoni mwanguuuh
Usiache niende
Maana nimeshang'ang'ania kuishi na wewe
We ndio kasi tutembee
Tena dereva ongeza gia tusichelewe
Siwezi fanya kitu mi bila wewe, bila wewe
Anaejua shida zangu ni wewe, ni wewe
Ka umemisi pendoooh basi niambie
Kaa ukijua we ndio wa kwangu mie
Basi niambie aaaye basi niambie aaaye
Basi niambie aaaye basi niambie aaaye
Basi niambie aaaye basi niambie aaaye
Ukweli unamatter kwenye mapenzi si unajua
Na uongo ni talaka ya mapenzi ukijua baby
Hata wakisema si acha ninawe
Umenilewesha nilewe
Uko moyoni mwangu usipagawe
Maana unaninogesha ni wewe
Siwezi fanya kitu mi bila wewe, bila wewe
Anaejua shida zangu ni wewe, ni wewe
Ka umemisi pendoooh basi niambie
Kaa ukijua we ndio wa kwangu mie
Basi niambie aaaye basi niambie aaaye
Basi niambie aaaye basi niambie aaaye
Basi niambie aaaye basi niambie aaaye
Basi niambie aaaye basi niambie aaaye