Kolo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Kolo - Nini (TZ)
...
Is Bonga
Hamjui kupenda kutwa mwaumizaee
Na umenipa dunda nashindwa uguzaee
Kama ingukuwa tender ningeshafukuzwaee
Ona furaha yangu imegeuka chozi
Ona leo natamani ile michezo ya chumbani
Mara sweet mara honey kumbe ilikuwa sinema
Ooh jamani penzi liko rehani nishapoteza na imani
We niache niendee
Uliniona kolo, kolo kolo
Ulikosa kipi ukaniacha solo, solo solo
Au huridhiki eti mi ndombolo ya solo solo
Nigeuke muziki ukanigeuza kiporo eeh eeh kiporo
Wala sitamani haya we haya
Huenda we sio fungu langu aya we aya
Bora nibaki peke yangu aya we aya
Huenda we sio fungu langu aya we aya
Kaa mbali na akili yangu (kili yangu)
Yapo mengi hukatisha tamaa
Nilivumilia ili mradi niwage na wewe
Baba vituko vingi na fujo karaha
Nilipuuzia ili tu niishi na wewe
Na kisirani ndani ya nyumba tafarani
Vurugu ka tuko vitani
Unanionea
We mwanaume gani
Hasira zaidi ya shetani acha niweke begi begani
Maana utaniuwa
Uliniona kolo, kolo kolo
Ulikosa kipi ukaniacha solo, solo solo
Au huridhiki eti mi ndombolo ya solo solo
Nigeuke muziki ukanigeuza kiporo eeh eeh kiporo
Wala sitamani haya we haya
Huenda we sio fungu langu aya we aya
Bora nibaki peke yangu aya we aya
Huenda we sio fungu langu aya we aya
Kaa mbali na akili yangu (kili yangu) aya we aya
Huenda we sio fungu langu aya we aya
Bora nibaki peke yangu aya we aya
Huenda we sio fungu langu aya we aya
Kaa mbali na akili yangu (kili yangu)
Oh my God is better sound (kili yangu kili yangu kili yangu kili yangu)