Nipandishe Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Nipandishe - Aila Voice
...
Aaah heey yeeah
Nimkande kiutani
Mpenzi akinipakata
Kanga moja kifuani
Taa tukizima nakuwasha
Baba wee usivue mkanda
Kama nikikosea
Suluhu kitanda
Mmh Baby wee usiwe mtata
Simu nsipopokea
Labda ni data heeeiey
OOh
Mimi pekee ndo ninaelewa
Utamu wake
Ananifinyanga nalainika
Mi saizi yake
Mimi pekee ndo ninaelewa
Utamu wake
Ooh Ananifinyanga nalainika
Oh heiieye
Kama konda wa dala dala
Ukinikuta kituoni nipandishe
Na kama nikipanda
Acha nipande kati kati usinishushe
Alee baba nipandishe
Nipandie pandii
Unipandishe
Alee pandisha
Pandia pandii
Unipandishe
Ale baba nipandishe
Nipandie pandii
Unipandishe
Alee baba nipandishe
Pandii pandii
Unipandishe
Siku zangu za kalenda anamaliza yeye
Sijui ni hirizi kama ndumba aongezee
Akipiga simu napoteza netiwoki kabisa heey
Asikari na filimbi ndani ya suruali yake
Ooooh
Mimi pekee ndo ninaelewa
Utamu wake
Ananifinyanga nalainika
Mi saizi yake
Mimi pekee ndo ninaelewa
Utamu wake
Ooh Ananifinyanga nalainika
Hee heiieye
Kama konda wa dala dala
Ukinikuta kituoni nipandishe
Na kama nikipanda
Acha nipande kati kati usinishushe
Alee baba nipandishe
Nipandie pandii
Unipandishe
Alee pandisha
Pandia pandii
Unipandishe
Ale baba nipandishe
Nipandie pandii
Unipandishe
Alee baba nipandishe
Pandii pandii
Unipandishe
Hubby chungu ni chako
Kama kupakua
Jipaku pakulilee
Alee baba eeee
Ale ale sweetie eeh
(Baaby)
Baby eeh
Alee ale hubby
Chuma cha moto
Chuma cha moto baby wewe
Chuma cha moto
Chuma chamoto baaaby weee
Kama konda wa dala dala
Ukinikuta kituoni nipandishe
Na kama nikipanda
Acha nipande kati kati usinishushe
Ati baba nipandishe
Nipandie pandii
Unipandishe
Alee pandisha
Pandia pandii
Unipandishe
Ale baba nipandishe
Nipandie pandii
Unipandishe
Alee baba nipandisha
Pandii pandii
Unipandishe
(Pandi)
Hey hey heeiye
(Pandi)
Hey hey heeiye