Acha Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Acha - Aila Voice
...
You got my style , si tusepe wote
and I got my car, tuondoke wote
you say, You got my style , si tusepe wote
and I got my car, tuondoke wote
akasema tena, huwa sipo single
ila nipo single leo tonight
unataka mingo, unataka mingo
akasema tena, huwa sipo single
ila nipo single leo tonight
unataka mingo, unataka mingo
sasa alivyo nifata kinichek ndo nilimzimia
faster nilichofanya ni kujimix na mwana kunachia
sasa alivyo nifata kinichek ndo nilimzimia
faster nilichofanya ni kujimix na mwana kunachia
shika ila acha hapo, ila acha hapo
umeishika ila acha hapo, ila acha
nikamwambia shika shika, acha
shika eehh acha
ameishika ila acha hapo, ila acha
saa tano ndo alinikaribia, akaniuliza
you want more bear
saa tano ndo nilikuwa namalizia
nikasema I’m down for real
saa tisa ndo alinisogelea
juu nipo too tipsy, nikamwangalia
naomba cheza nawe, akanaambia
and I was so down for real
he said: hello pretty sister, toka muda nakuita
can I go dance pamoja nawe
nikasema slow down, bali more heat ohh
ndo niende cheza nawe
sasa alivyo nifata kinichek ndo nilimzimia
faster nilichofanya ni kujimix na mwana kunachia
sasa alivyo nifata kinichek ndo nilimzimia
faster nilichofanya ni kujimix kujimix kujimix
shika ila acha hapo, ila acha hapo
we shika ila acha hapo, acha
nikamwambia shika ahhhhh
ila acha, nikamwambia shika ila acha hapo
(acha)
he got me like, holding my feet so tight
he got me like, bending on my knees so flat
he got me like, show be like a design
and he was like, can I touch your body
he got me like, holding my feet so tight
he got me like, bending on my knees so flat
he got me like, show be like a design
and he was like, can I touch your body
shika ila acha hapo, ila acha hapo
umeishika ila acha hapo, ila acha
nikamwambia shika shika, acha
shika eehh acha
ameishika ila acha hapo, ila acha
Lyrics brought to you by: Steven Godfrey