Sorry (Pro.ShallzBaro) Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2019
Lyrics
Sorry (Pro.ShallzBaro) - Bahati
...
....EMB Recods...
oooou mama leleleeh
Lord have mercy..
DK kwenye beat..na bahati tena..
..#..bride..
Nikona mengi masecreti
niyatoeje kwenye kibeti
some times i regret..
I am sorry..aah
Nikona mengi masecreti
Mengine makubwa mengine petty
na mengine mmewitinessi
I so sorry ..
Kabla niseme sana baba niskize aah
leo nikona brother anaitwa dk
..........
Baba uliye juu mbinguni najua unatazama
mi ni mwanako mpendwa katika bwana
naishi kwa bahari mchanga uliozama
kwa mbali naona vumbi iliyohama
na njaa ilitawala..na tamaa ya ganji
nafanya mradi kwa kivuli cha uchungaji
nazini sana na upako wa kipaji
gunia la dhambi na namvisha Yesu taji
..Chorus..
Nikona mengi masecreti
niyatoeje kwenye kibeti
some times i regret..
I am sorry..aah
Nikona mengi masecreti
Mengine makubwa mengine petty
na mengine mmewitinessi
I so sorry ..
sorry sorry sorry im sorry
sorry sorry sorry im sorry
...
mama aliniambia kafanye kupuuzia
leo najuta nashindwa kusimulia
kafiri hazaliwi anajengwa na dunia
kuna mda mtu mzuri hutengwa na hatia
..
nilichoonakimu sana mnakumbuka
nilizaliwa nyota upako kuruka
nikasahauafari ya macho inafilisi duka
ata mwenye roho safi akifa ananuka
Chorus..
Nikona mengi masecreti
niyatoeje kwenye kibeti
some times i regret..
I am sorry..aah
Nikona mengi masecreti
Mengine makubwa mengine petty
na mengine mmewitinessi
I so sorry ..
(shazbarow)Lord of Lords you are gracious
full of compassion..slow to anger and of great mercy..im sorry