Head Bad Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Head Bad - Kappy
...
(hahaha) yoh kappy, MI nataka muniite Aladin ju venye natema Nika nilimada sin syke aishiki, na bizz MI natuma ni ya doh peke, na ka tsunami tei zinabangi ndani zi, MI nadilingi na MA gwiji, na venye MI nakam daily miusemanga miukua biizy, mistari miuzipikanga na ice, ndo an zikilambika kii baridi, na Jonny MA, niliwawachia idha, ya kuchokoza simba, nisafiri na mbogi mamanaza, ngoma zangu Miu deliver venye nafaa ndo Maana miurembesha na chocha before ikam, MI nangoja kafala katashtuka, ju MI ndo kusema, kunyamba na we ndo kunusa, nisha Mada ngori buda MI ndo killer, sibishani na kipi ka najua MI ndo winner, MI ndo rapper nilitekaga your sister, tukapiga manude wakaanza kutuanika, siezibishana na mbogi za kukam, miudilingi na yako za masaa MI nimejam, naaa, miupendanga nikichezanga na kish, nikimdigi fiti na movie za ngwati, acha nirudi tupashane nao mafala, hudunganga MA mini mandume na ni wmama, nasi nilitoka kwa dimanga venye nafaa, na jasho na bidii ikafanya MI nikapaa, cheki, katere ngonya mistari mashini na, nakazana nakunyima gwado tori na ass(ass) hhm, ilibidingi niwatusi nimbombo, ju bizz MI hi zao ziliwaendea kombo, kelele Mingi ni ma memee kondo, ndo mana nazizima na ma memee bombo, izi macomedy nazichoranga solo, ndo mana mathako ye hutumia Haga zake yellow, after hii ni kolabo na kartelo, turorie na bombe na matapeli WA gheto kuswitch game mazee bado mi ndo champe, marapper chinku mazee nimezima diuram, bado kuwadiss badae nikusafisha, ju vitu munachora mazee joh ni za upuzi, anyway nyi wote bado munaukuza,na ngoma za udoba joh ryme za upuzi, makollabo mazee nimekua chuzii, skuizi MI ni bombe MI na flex kwa jacuzii, na, Miuchekirichix and alongside suzzy, nakabizz MI nachanga mchuzii, najenga chapo ndengu kudishi na Lil uzi, hao mafala bado mi nawaibisha, ju utiaji Yao yalifanya wabaashisha, mandishi bado mi ndo kuwachora, sjai bahatisha kwa vitu joh Miuchora, Nina siz joh wawili joh wakora, na miupenda wakiririma wakiningora, after all nimemada kururua, funga mistari an amda nikikohoa, (ahahahah) speach.