Ntakafunga ft. Siren On The Beat Lyrics
- Genre:New Age
- Year of Release:2020
Lyrics
Ntakafunga ft. Siren On The Beat - Kappy
...
Mshande ishajipa nko mmadoh Afrikeka hii mwaka jo stateseka ,nashika dinga hiyo motikeka
Na gondo biggy ikijipa manze m ntakaweka
Ju hii mwaka nimi ntakafunga eeeh
M ntakafunga eeh
Nilisemanga itajipa moshi kama mitina zero mara sita kuma mara mbili
Nazozanga hii mbogi tabaki mnaitana ju mi ndo kenyorioro hapa mi ndo kusemanga
Nateka manzi yako orosho ju alinidedi
Na hudealingi na mapedi wote wa manyaa
Napokonya ushuru madonda wananikanja
Ju mi ndo Omondi miithanga m n karanja
Mshande ishajipa nko madoh Afrikeka
Hii mwaka jo stateseka , nashika dinga hiyo motikeka na gondo biggy ikijipa manze m ntakaweka juu hii mwaka n m ntakafunga eeh
M ntakafunga eeh
Naskia mistari ngori wanani ilkuwa n movie
ilchezeshwa mayolo sa imefika mpaka dubiz
Na pesa n mingi leo nachange madinga leo
N benz kesho joh npate na bima cheki na taka
Dready ka za NELLY THE GOON,NASI NATAKA MANZI KAMA VERA SIDIKA ,BUDA NATAKA STUDIO NIRECODI MANGOMA JOH ntoe vtu mbwaya joh zchune kwa mbulu.