Naanza Tena Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Naanza Tena - Bahati
...
EMB Records
Ni Bahati Tena
Mungu wangu naanza Tena
Aah Tenaa, Tena
Naanza Tena
Nipe nguvu naanza Tena
Aah Tenaa, Tena
Naanza Tena
Ribi ribi sandarem
Baba yo Baba
Nyimbo nzuri nikutungie eeh, babaa
Baba wale iwafikie eh, ah
Uchungu wangu nikupatie ah
Dawa yangu unitafutie ah
Ila shida zanisonga Sana Wakati nakosa kumwambia
Nimekonda Sana Mawazo ya kesho si unajua
Ila shida zanisonga Sana Wakati nakosa kumwambia
Nimekonda Sana Mawazo ya kesho si unajua
Mungu wangu naanza Tena
Aah Tenaa, Tena
Naanza Tena
Nipe nguvu naanza Tena
Aah Tenaa, Tena
Naanza Tena
Unaitwa Jehovah jaire, jaire
Upendalo Baba basi na liwe
Wanakuita Jehovah Jaire, jaire
Upendalo Baba basi na liwe
Wanakuita baba wa yatima
Mume wa wajane
Wanakuita baba wa yatima
Wanakuita baba wa yatima
Mume wa wajane
Wanakuita baba wa yatima
Mungu wangu naanza Tena
Aah Tenaa, Tena
Naanza Tena
Nipe nguvu naanza Tena
Aah Tenaa, Tena
Naanza Tena
Oooh oooh oooh,, aaa he
Yesu wangu,,, aaa hee
Baba yangu,,,, aaa hee
We si unajua,, aaa hee
Roho yangu,, aaa hee
Tamanio langu,, aaa hee
Mungu wangu,, aaa hee
We si unajua,, aaa hee
•••√√√√√•••••••√√√√√√√√•••••√√√√•••••••••• ...