Deni ft. Femi One & Jadi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Deni ft. Femi One & Jadi - King Kaka
...
King Kaka – Deni Lyrics Ft. Jadi, Femi One
Femi One
Si fulizangi ulizia around
Ni Femi, Kaka, Jadi so pandisia kasound Sipingangi maFree so ulizia amount
Kama account iko empty basi nalimit amount
Tunablend liquor, blend Thika
Bado after this sign ya Nairobi tunafika Ball ni kama ya Olunga ama Ben Thika
Na siuzi sura bado na mabill mi hulipa uno uno uno uno
Jadi sound
Wakikuja sura ziuzwe, Sura ziuzwe!
Ona washapandisha deni
Wakikuja sura ziuzwe, Sura ziuzwe!
Ona washapandisha deni
Wanaleta deni deni deni
Leo sitaki deni deni deni
Wanaleta deni deni deni
Leo sitaki deni deni deni Wanaleta!
king kaka
Ata ka hakuna ganji bana leo katanyc Never know naeza pata future wife
Lipa tu baadae tutakatana
na Kuna dem anaizungusha ka chama
We ni mtiaji, mmmh ka Saul
Ukiniona kwa club unakaa sorrow Nikudrown kwa chupa na kudrown your sorrows
Deni is that you?
huh borrows
Jadi sound
Wakikuja sura ziuzwe, Sura ziuzwe!
Ona washapandisha deni
Wakikuja sura ziuzwe, Sura ziuzwe!
Ona washapandisha deni
Wanaleta deni deni deni
Leo sitaki deni deni deni
Wanaleta deni deni deni
Leo sitaki deni deni deni Wanaleta!