Nolilaga Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Nolilaga - Jumanne Idd
...
angalia maajabu ya dunia
mitigani, mungu alio tulea
baba na mama ndonguzoya dunia
ikianguka ujue ndoumeangamia
kwani no sawa boti ikiwa kwenye maji
enaelea inakosa mvushaji,
hata Kam tajili auna kipaji
mchango wao wazazi utaitaji,ikiwa unawanyanyapaa wazazi, namaanisha uwaeshimu wazaziwew unadiliki kuwafanya vijakazinakuapia wew utapata lazi kwani bila wao usingekuwepo,kwani bila wao usingekuwepo,kwani bila wao usingekuwepo,kwani bila wao usingekuwepo, bila wao wotee tusingekuwepo,bila wao tungegeuka upepo,bila wao wotee tusingekuwepo,bila wao tungegeuka upepo
baba bila wew mi singekuwepo
mama bila wew mi singekuwepo
baba bila wew mi singekuwepo
mam bila wew singekuwepo
nolilaga,no lilaga wewe mama
nolia nolia nolilaga wew mam