Baba Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Baba - Jumanne Idd
...
mmmmh ooh oh,leo mi natambua thamani yako kwenye hii dunia aah
tangu uiage dunia
huku jahazi linaangamia aah
..?mi najiuliza hivi mi ni yule jay wa kishua aah
ukasema kujisifia shule na malinga kuwatimia
zile enzi ii nikiletewa baga nakataa kata
enzi nikivaa libogi nanata nata
daddy ii najinsi ulindekeza aah
kila nilichohitaji kwa wakati ulitekeleza
daddy
kuna muda nilikupeza
sikujua ulichowekeza aah
leo jukumu nalibeba
hakuna Kama wewe (babaa)
Yani baaba wewe (baba)
Ni nguzo ya familia(baba)
tulikutegemea (baba)
aaaiiii ,(baba)
Yani baba wewe(baba)
Ni nguzo ya familia
tulikutegemea(baba)
BaaBaa
baba sasa ndo vile hakuna....?