Rhumba Japani ft. Bensoul, Xenia, Nviiri the Storyteller, Okello Max & NHP Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Rhumba Japani ft. Bensoul, Xenia, Nviiri the Storyteller, Okello Max & NHP - Sauti Sol
...
Kuna rhumba ya Juja
Na ni ya maboy
Ukisaka mitumba
Enda rhumba ya Toi
Kuna rhumba ya Kibich
Utajua hujui
Kuna rhumba for all you n*ggas
Ila rhumba Japani ndio rhumba
Kuna rhumba ya state house
Iko chini ya maji
Kuna rhumba ya bunge
Ya majambazi
Ukileta ujinga
Utalala ndani
Kuna rhumba for all you n*ggas
Lakini rhumba Japani, ndio rhumba
Hapa ni wapi, tumezungukwa na shisha
Na shahsamani, mapochopocho na vinywaji mbalimbali,
wengine wanatapika wakizirai
Hapa ni wapi, wanatutwanga mapicha
Kipaparazi,
Tumezungukwa na warembo keti kali, Wanazitoka na style za kizamani
Kuna rhumba ya Westy
Ya mabeshte
Ya mashinani
Sheki your waist
Rhumba ni nyepesi
Isikue kesi
Kuna rhumba for all my n*ggas
Ila rhumba Japani ndio rhumba
Kuna rhumba Karura
Ya kupanda miti
Ukiwa Koinange
Hakunaga risiti
Rhumba Oyole
Hio no ya mangwati
All of my h*es and all of my n*ggas waje
Rhumba Japani ndio rhumba
Hapa ni wapi, time zungukwa na mabouncer
Kama chain, kuna mapedi mapoko
Pia mapinji, na wanaseti Michele
Kwenye vinywaji
Hapa ni wapi, Kuna visanga vioja
Mahakamani, wapenzi wapigana
Mate hadharani, wengine wanatekana
Nyuma ya taxi
Nitie rhumba obunga
Mano mar jothurwa
To kidwa bilo mbuta
Rieri yo manyata
Yawuoi orwaka akala
To nyiwa ondiso avunja
Kuna rhumba for all you niggas
Lakini rhumba Japani, ndio rhumba
Aaaaaaah
Sol Generation you know
Hii shit imeniweka zone, inatamba
Hapa ni wapi, waheshimiwa wako nje
Kwa foleni, na raia wako ndani
Wajivinjari, wanazitoka na style
Ni za kiodi
Hapa ni wapi, mawochi wote wameleta
Utiaji, wakafungia wakubwa
Nje ya party, wakawachia ofisi
Wafanyikazi
lyrics added by James Keter(cool kid1)