Lazizi Lyrics
- Genre:Afro Soul
- Year of Release:2009
Lyrics
Lazizi - Sauti Sol
...
lazima wangu we..
zawadi mnono kutoka mbinguni
nakuwaza my babe
nikikuwaza usiku silali, nikikuona na wengine nashikwa na wivu, naomba unipe namba yako nikuvutie waya, nikupeleke java tunywe kahawa, tukizuba duba duba
................
Muhali wanje we
shiyolwa shianza hurula hunyasaye
ndakhuyanza my babe
shiyolwa shianza hurula hunyasaye
nikikuona na wengine nashikwa na wivu, naomba unipe namba yako nikuvutie waya nikupeleke java tunywe kahawa tukizuba duba duba
..
........
............
zunguka zungu zuka ne nikitafuta kama wewe ninafeel Tu nice unanipa me amaaani, mbele baby sioni njia bila wewe eeeee-ee laziziiiiii
nikikuona na wengine nashikwa na wivu naomba unipe namba yako nikuvutie waya nikupeleke java tunywe kahawa tukizuba duba duba