Hakuna Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Hakuna - Adawnage
...
tunakupa sifa zote bwana wa mabwana
uketiye kwenye enzi mfalme wa wafalme
makeruthi maserafi wote wakutazamia
ulimwengu umejawa utukufu wako bwana
hakuna mungu kama wewe
hakuna kamwe kama wewe
hakuna wa kulinganishwa nawe
hakuna mungu kama wewe
hakuna hakuna kamwe kama wewe
tunakupa sifa zote bwana wa mabwana
uketiye kwenye enzi mfalme wa wafalme
makeruthi maserafi wote wakutazamia
ulimwengu umejawa utukufu wako bwana
hakuna mungu kama wewe
hakuna kamwe kama wewe
hakuna wa kulinganishwa nawe
hakuna mungu kama wewe
hakuna hakuna kamwe kama wewe
nani aokoa,ni wewe
Nani anaponya,ni wewe
nani abariki,ni wewe
mungu kama wewe
nani anaweza,ni wewe
Nani mkombozi,ni wewe
nani anaweza,ni wewe
mungu kama wewe
mtetezi wangu,ni wewe
bwana wa mabwana,ni wewe
bwana wa majeshi,ni wewe
mungu Kama wewe
hakuna mungu kama wewe
hakuna mungu kama wewe
hakuna mungu kama wewe
hulinganishwi hufananishwi
mungu kama wewe