Corona Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Corona - Beka Flavour
...
Hili gonjwa ni hatari, na tena linaua (uaaaa)
Nitishio duniani, nani asiyejua (juaaaa)
Kusemaza ukweli Corona ni pigo
Mpaka sasa dawa haijulikani bado
Tujilinde wenyewe kwa hili tatizo.. (uoooo)
Tusipeane mikono chondechonde,
Safari ziso mhimu tusiende,
Tuvae mask chafya tuzikinge,
Ndio kinga mbadala aaaaa
Mabusu kupigana jama tusipende,
Ili tusiambukizane tujikinge,
Mpaka gonjwa hili lipite
tuombe Mungu uuuu atunusuru kwa hili
Tusichukulie tu, Poa Poa
Corona gonjwa hatari, watu wanakwishaaa
nchi zote duniani ×2
Na SERIKALI inatupenda ndio maana imezifunga shule,
Mikutano yakisiasa yote wameitupa Kule,
Na matamasha wasanii hakuna kulee
Wangeruhusu yani ingekuwa sawasawa na bure
Tunawe mikono kwa maji safi salama
Sanitizer nyumbani no kukosekana
Salamu mbalimbali no kugusana aaaa aaaaa
Tusipeane mikono chondechonde,
Safari ziso mhimu tusiende,
Tuvae mask chafya tuzikinge,
Ndio kinga mbadala aaaaa
Mabusu kupigana jama tusipende,
Ili tusiambukizane tujikinge,
Mpaka gonjwa hili lipite
tuombe Mungu uuuu atunusuru kwa hili
Tusichukulie tu, Poa Poa
Corona gonjwa hatari, watu wanakwishaaa
nchi zote duniani ×2
Bado tunakuomba Mungu Baba
utunusuru na hili janga
Raisi wetu Magufuri Baba
umunusuru na hili janga
Bado tunakuomba Mungu Baba
utunusuru na hili janga
Umi Mwalimu ooh Mama
umunusuru na hili janga
Bado mi nakuomba Mungu Baba
uninusuru na hili janga
Mwanangu Aliani iii
umunusuru na hili janga eeee
oooh Tanzania utunusuru na hili janga