Now You Know Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2016
Lyrics
Now You Know - Nyashinski
...
mmmmmmh.....*7
Ah
hu fala mgani ameeka mamn'gari
kwa list juu ya Ferrari yeah
ana degree au ni journalist tu juu ana list
naskia wakiuliza ule boy wetu alienda wapi
amepotea kaa zile mbegu watu walipanda na kanyari yeah e e e
na naskia inasemekana ati rap zangu hukam na mkazo na ile utamu ya reggae mama
maordinary wananikubali na hata ati hata hawezekana
kwa wale hupenda sauti yangu na iko wale husengenyana
mama mama
vijana wako wamepotea ni market mpya anatoboa ndugu zake wakiendelea
mwenyezi pekee anaeza mwokoa kimaisha amelegea
ingawa hatuoni akitoboa bado twazidi kumwombea amina
mmmmmmh...*7