Finyo Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2018
Lyrics
Finyo - Nyashinski
...
Hodi kwa mama mtoto mkorofi
Acha nikwambie ka unatokwa na machozi ya mtoto mchokozi itabidi uongeze pili pili kwa biriani otherwise
Ka si hivyio wanachama hatuliangi hatu tuliangi na ndukulu ni bangi na ina harufu mbaya
Inaudhi majirani lakini haidhuru ni sawa acha wahamie mashinani ka inawadhuru vibaya Zinatubastia ka bomb bomb kwa kona me na squad... iko Chrome na makonmen na wakora Wanadiploma zakufunguanisha grogo na corola
Na bado mnasorora vile hamna talent so mmegeuza game Sodom na gomora
Vuta hio trouser juu uwache kutuonyesha tako Vuta hio mini chini unmaibisha mamako
Na ka unatafuta yule anajuwa kupika uji sio kupiga picha uchi
Unfollow nyako follow nyayako ukitaka nyama Hapa Sawa chief hii buchari tunaita usiwai blander na beef si uwanga ready ka skanga
bonga shit unatandikwa ka vitambaa bedcover ama hand ka chief
If your God is money then you are poor to me I have a feeling on what you pretend to be on IG
Kutoka nursery I've been a winner msinieke gasoline nabado hamjazima moto niliwasha 03'
Nacome na finyo ooh, macho macho finyo, ndivyo tuna finyo, hustle jo na finyo, bado tuna finyo bado tuna finyo sana
Be ready for the world is it ready for you, you waiting for your girl is she waiting for you
Nilisikia type yako hu like ma bachelor sijui ka ni true
IG bea ni ule carpenter I feel ka nitrue a aah and reasoning si umang’aa ujinga ndo siukataa
Sacrifice ni kuifanya for family sio chapa aaa
Greatness ni kuamkia legacy sio chapa siwezi kua juu ya thao ka kwangu thao sio chapaa
My apartment is Amsterdam certified rasta man
Aki sometime na hang I feel like I'm Sadam
I feel like I'm the best need ku make man impress zii ku fake happiness zii mi ni merciless
I'm ill na nta watesa until mkubali kesi
Ka sitaku impress na skill ni pamba freshi
Uki dai tuingie commercial still nakuanga messy prepare kuingia kwa battlefield na mwanajeshi
Hii ndio ile inaitwa one shot kill na feelingi fiti niki wamada ki action film
na believe hii mziki ita nibuiya mansion still na kill *@#£% aaaaah
If your God is money then you are poor to me I have a feeling on what you pretend to be on IG
Kutoka nursery I've been a winner msinieke gasoline nabado hamjazima moto niliwasha 03'
Nacome na finyo ooh, macho macho finyo, ndivyo tuna finyo, hustle jo na finyo, bado tuna finyo bado tuna finyo sana
Mwanaume aseme hii shamba siezi lima na come na plough mbili hiyo ingine ni ya finyo pekee hehe
Niko na issue ikiwa juu yangu kaa si kofia
Kwa ma issue za vitabu za historia jina yangu watoi wako wataisoma pia
Ata ka utadedi ukisema hukuwai niskia nisha kusikia kila year ukilia uta run next year
Si this year pia ilianza ukilia walai this year?
Next nta quit niko high ju niko high this year
Sita high next year ka ntakua high next year
Excuses excuse me please sorry thank you
Mission impossible kifo ni ngori joh na isikupate uki try too hard to be perfect
Sometimes jipe ruhusa tu kua rachet
Smile ka bado huja pita budget na ka ume pita ficha shida chini ya carpet
Ina piga ina piga kushinda earthquake ina piga ina piga kushinda earthquake
Watu na race nao wameshindwa kushusha handbrake
Uhunye na Rao wame piga handshake