Thungutha (Christmas Rendition) Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Thungutha (Christmas Rendition) - Kaymo Thitima
...
krismas (kymo)
sikuku*3
tujibabe sana holiday
achini achini achini
makofi ya kilo
ajuu ajuu ajuu
makofi ya kilo
tumekuja kufanya Nini
tumekam kurombolotha
promotion inenda kupita Shika Hyo
promotion inenda kupita Shika Hyo
kamata
kachoma kanenda kuiva Shika Hyo kamata rakata cha
kakuku kanenda kupita Shika Hyo kamata rakata cha
KandaChapo tu kisifu
ponda sembe tukisifu
Leta soda tukisifu
nyama Choma tunaingoja
kwni tumekuja kufanya Nini we
tumekam kurombolotha
wacha yesu azaliwe moyoni mwako
aiinuliwe Mungu yesu Leo
aliyezaliwa
tunakurombothela tunakukatikila
tunarombotha rombotha
kusakata
sema ma hii Ni Noma si Noma
Ni moto
krismas
kila mtu aletewe chai Na kila mtu aongezewe supu
sikuku sikuku sikuku krisimas
tujibambe sana holiday
achini achini achini
makofi ya kilo
ajuu ajuu ajuu ajuu
makofi ya kilo
tumekuja kufanya Nini
tumekam kurombolotha
andu anyumba moliega ? eeh
mulienguwa atia mukinira mwathani
andu anyumba moliega Rigi?
mulienguwa atia mukinira mwathani
ndu nyisae
ndu nyisae bidinae
unyijidanae sopakale nyasae
tumekuja kufanya Nini
wenye wanakulia nyama jikoni
tumeshawaonea eighteen
aiinuliwe Mungu yesu Leo
amezaliwa
tunakurombothela
tunakukatikila