Wacha Muchezo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Hii nairobi si nyanya ya mtu
labda upate nyanya marigiti
utapigwa character development
(Kymo is on this)
Verse 1
Unajifanya rafiki kumbe unanitoa kwa keki
naleta gari service kumbe unabadilisha battery
unaleta msichana wa kazi kumbe ni bibi wa pili
ukijifanya kumbafu utafundishwa hadafu na watu
weeeh! Wacha muchezo, Wacha muche eh! Wacha Muchezo
Mambo ya huyu alisema yule alisema huyu alifanya
aliniambia vile we uliniambia mara ukamwambia mimi nilimwambia
kudiscus watu kwa watu hio ndio inaitangwa ufala
na kaa una noma na mimi unajua mahali utantoa
so brathee weee! Wacha muchezo, Wacha muche eh! Wacha Muchezo
unafungua biashara kumbe ni za kusafisha
unapandisha mafuta kumbe nkujitajirisha
wanategea udedi mali yako wanadharana
ukilalia maskio utapata waligawana
Wanjiku weee! wacha muchezo
Chorus
Sisi ndio tu? Sisi ndio tuko
Sisi ndio tu? Sisi ndio tuko
Wee Wacha muchezo
Sisi ndio tu? Sisi ndio tuko
Sisi ndio tu? Sisi ndio tuko
Verse 2
unaita mali safi kumbe ni mali ya uma
unadhani anakula fiti kumbe amepaka chuma
Bibi analala kwa kiti kumbe ni panadol amemeza
unasema ni road testing unajipata mombasa
Uuuui Ghai!! (wacha wewe) tulifika huku lini (Wacha muchezo)
tulifika hapa aje? (wacha kujifanya) niligurumisha saa ngapi (that's what you wanted)
Unajifanya beshte yangu kumbe hii ni nairobi
unanipigia simu na umefinya recording
unadai namba ya beshte yangu kumbe kila siku ni hodi
ukijifanya kumbafu utafundishwa hadafu na watu
weeeh! Wacha muchezo
Chorus
Sisi ndio tu? Sisi ndio tuko
Sisi ndio tu? Sisi ndio tuko
Wee Wacha muchezo
Sisi ndio tu? Sisi ndio tuko
Sisi ndio tu? Sisi ndio tuko
verse 3
kikulacho ki nguoni mwako tena ya ndani
beshte yako mwenye siri zako tena za ndani
ndugu yako dada yako yule wa kanisani
hata judas alikinda yesu kasalasini (salasa)
weeeh! Wacha muchezo, Wacha muche eh! Wacha Muchezo
Cheza hii ni kenya unaeza disappear na shilingi elfu hamsini
ukitafutwa ukosekane famili idhani ni majini
najua watu wanajua watu you should know who you deal with
ukijifanya kumbafu utafundishwa hadafu na watu
weeeh! Wacha muchezo, Wacha muche eh! Wacha Muchezo
(as I wind up)
Mind your biz fanya kazi wacha kimbelembele
nikuje pole pole brathee wacha kiherehere
ukipata kakitu nyamaza wacha mehe mehe
juu ukijifanya kumbafu utafundishwa hadafu na watu
weeeh! Wacha muchezo
Chorus
Sisi ndio tu? Sisi ndio tuko
Sisi ndio tu? Sisi ndio tuko
Outro
Eeeh!! (laughter!!)
Bro! Chunga sana hii ni nairobi
tutakupiga character development moja safi
Ujue hujui uskie ni kama Thiitima!!
(laughter!!!)
--- www.LRCgenerator.com ---