Niko Sawa ft. Mr Blue Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2020
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Niko Sawa - Kelechi Africana
...
Tam tam tam kanipenda my girl
Beiby huba nikujalie chumbani
Ulegee
I say chipoloko beiby
Hata gizani nikuweke
Prokoto rege
Uno la sote kisebene
Am so low, low low low
Kwako nimezama
Please don't go, go go go
Ukienda nitakwama
I say, I wanna see your hobby
beiby (I wanna see your hobby beib)
No one can love you like me
Ooh no niko Sawa (Sawaa)
Hata waseme ya nini (Sawaa)
Unipe busu bafuni (sawaa)
Chochote ufanyacho
Kipezi eh(sawaa)
Yaani niko Sawa (sawaa)
Beiby I love you (sawaa)
(Ah)
Unipe busu bafuni (sawaa)
(one more time )
Chochote ufanyacho
Kipezi (sawaa)
Yaani niko Sawa
Am Okey am alright niko shege
Niko Sawa
Najiona nikipaa na Sina mabawa
Naziona story za Adamu na Hawa (yeyee)
Mi mzima au chizi sijui
Nimepagawa(oh yeah)
Wherever you like mama niko
Sawa
Napenda tuoge pamoja, tuende shower
Riziki ngoja tusubiri kwa mwenye
Baba (yeyee)
Nini Mombasani jioni unywe
Kahawa (Kahawa)
Wapige chini nani na nani ka na
Mzawa(aha)
Ule maini ukiwa nyimbani kwetu
Kipawa( oh yeah)
Baki na mimi mama kwani
Hatuendi Sawa
Gubika kikombe kawawa
Najenga jumba la penzi
Haliharibiki (yeah)
Nishapiga roba mama hayabadiliki (yeah)
Kwake mi ni zoba sitamaniki (yeah yeah)
Ushani niroga (ooh yeah yeah) ya kwenye kiti
Basi Changanya na viroba na tucheze na muziki
Ooh no niko Sawa (sawaa)
Hata waseme ya nini (sawaa)
Unipe busu bafuni (sawaa)
Chochote ufanyacho
Kipenzi (sawaa)
Yaani niko Sawa (sawaa)
Beiby I love you (sawaa)
Unipe busu bafuni (sawaa)
Chochote ufanyancho
Kipenzi (sawaa)
Yaani niko Sawa
Mtoto toto wanipa joto
Baridi silali
Kwako funika kidogo
Baridi silali
Mtoto toto wanipe joto
Baridi silali
Kwako funika kidogo
Baridi silali
Sawaa, sawaa, sawaa, sawaa
Sawaa, sawaa, sawaa, sawaa