Usisahau ft. Barakah The Prince Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Usisahau ft. Barakah The Prince - Timbulo
...
touch
ou nanannaa
ahhhh
umeninyanyasa kwa kujua moyo natafuta
bila ubaya, usinitangazie vya ndani mama
na isije kuwa vita, sikufosi unipenda usisahau
nilikupenda sana siwezi kujipinga unafaham
na ila nitunzie yangu madhaifu yangu uloyaona
japo sio wako tena, aibu nitunzie
alikuwa lengo langu, tulivunja pendo me nawe basi
najua sitoweza tena, ninaomba nitunzie
maana niliahidi uhai na kifo, haswa mapumuziko
ntakuwa nawe ila mipango ya Mungu huwezi ipangua
apo huwa na mashoga zako namisi vituko nikikuwa nawe
jamani mipango yake huwezi ipangua
nenda salama mama,
we nenda usisahau nilikupenda angalau na madhaifu yangu
unitunzie siri angalau hey
we nenda usisahau, nilikupenda angalau na madhaifu yangu
unitunzie siri angalau
yani naiona michoro kwa mikono yako aha
ila siamini kwanini uliamua uwende zako aha
tena naiona taswira ya ule uwema wako aha
leo umegeuka ndio fimbo unanichapa mimi aha
basi moyo wangu, nakupa zawadi baki nao
nahisi sitopenda tena ila naomba nitunzie
maana nilijitoa kimwili akili, uhai na kifo ntakuwa nawe
ila mipango ya Mungu huwezi ipangua
apo huwa na mashoga zako namisi vituko nilipokuwa nawe
jamani mipango yake huwezi ipangua
we nenda usisahau nilikupenda angalau na madhaifu yangu
unitunzie siri angalau hey
we nenda usisahau, nilikupenda angalau na madhaifu yangu
unitunzie siri angalau hey
touch
(ukitaka unirudie, ukiniona sifai unichungie
ama vipi unipuuze ukiniona popote nipotezee) X2
aaah aaahh ahhha ahhh mmmh x2