Tamu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Tamu - Timbulo
...
Oh baby ni salamu tu honey
Nimekumiss my darling
Hauko nami siamini
Na hvi ni ndoto au kweli
Haina budi nikuamini
Nirudishe kumoyo am sorry
We ndo joto mi baridi
Uko poa ila nahisi sio kweli (ni vileee)
Siwezi tafuta mwezi (ni vilee)
Kukusahau siwezii (ni vileee)
Namiss mapenzi (ni vilee)
Mi sina mwengine na nimebaki bachera
Ila napata gadhabu nikiona umepost unamsela
Sema yote adhabu ulonipa hongera aah
Iweje npate tabu nawewe upo mama
Mi namiss sanaa
(tamu nimemiss tamu)
Vile vya nje na ndani
(tamu nimemiss tamu)
Tena ni kitu ya hamu
(tamu nimemiss tamu)
Yani na nini na nini
(tamu nimemiss tamu)
Ooh bebe bebe wee
Nahisi baridi nikiwaza unavyozungushaga
Taratibu kamoyo barafu pale ukipost picha
Minawaza sipati jibu lini utarudi muhibu
Timbuloo napata tabu hivi salama ulipo
Nimekalia tu visomo ooh aah visomo
Nanyooshewa mikono ooh nimekuwa wa mfano ooh
Mi sina mwengine na nimebaki bachera
Ila napata gadhabu nikiona umepost unamsela
Sema yote adhabu ulonipa hongera aah
Iweje npate tabu nawe upo mama
Mi namiss sanaa
(tamu nimemiss tamu)
Vile vya nje na ndani
(tamu nimemiss tamu)
Tena ni kitu ya hamu
(tamu nimemiss tamu)
Yani na nini na nini
(tamu nimemiss tamu)
Ooh bebe bebe wee