Valepain Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Valepain - Lameck Ditto
...
mmmh...
Valepain
vale...
ujasiri sina wa kuzozana na wee kulumbana na wee
mali sina naona bora niwee vile vile polee
nisingekung'ang'ania usingenidhuru uwenda nisingekujua na ningeshukuru
mmmh...
chrous
valepain ayeyeyeee...
valepain ayeyeyeee...
ufananii na kwa vitendo ulivyo nifanyia
umedanganywa na nani na wema niliomufanyia
umenifanya vibaya
sina tena changu makubali yee sio bahati yangu wewe niking'ang'ana nacheza
sina tena changu makubali yee sio bahati yangu wewe niking'ang'ana nacheza