Wapo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2011
Lyrics
Wapo - Lameck Ditto
...
Cwez kuishi bila upendo wako ulivyoniteka
Naomba nihifadhi kwa mikono yako(nicje anguka)
Nmezunguka kutwa nzima, kama ww cjamuona
Napigwa vita kutwa nzima, lakini bado napigana
Wapo waliotaka nkuache
Na kusema ctafka popote
Ndipo waknifanya niongeze juhud nyingi
Mpaka cku niwe wako
Cjali umenitesa mara ngap
Au nimelia mara ngap
Nia yangu ni moja
Cku moja tuwe wote pamoja
Cjasahau cku wa manane ule (ulivyonika)
Mbele ya nduguzo na bwana ako yule (ukanitukana)
Kwa mapenz nilcmama
Kama chizi nlionekana
Leo wa kusema hakuna
Najua wapi nnakupenda
Wapo waliotaka nkuache, wakasema hatutafka popote,
Ndipo wakanifanya niongeze juhud mpk mwsho niwe wako
Cjali umenitesa mara ngap
Au nmelia mara ngap
Nia yangu ni moja
Cku moja tuwe wote pamoja
Penzi liendeleee
Lisifike mwishoo
Tuwe wote milele
Tushinde vikwazo
Wapo oooh
(Wapoooo oooh)