Nerea ft. Amos And Josh Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2015
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Nerea ft. Amos and Josh - Sauti Sol
...
nakuomba nerea usitoe mimba yangu ee
mungu akileta mtoto analeta sahani yake
leta nitamlea usitoe mimba yangu ee
mungu akileta mtoto analeta sahani yake.
huenda akawa Obama, atawale America.
huenda akawa lupita, Oscar nazo akashinda.
huenda akawa Wanyama, acheze soccer Uingereza.
huenda akawa Kenyatta, mwanzilishi wa taifa... nakuomba nerea usitoe Mimba yangu we mungu akileta mtoto analeta sahani yake , Leta nitamlea usitoe mimba yangu eeh, Mungu akileta mtoto analeta sahani yake .....nitamleeeah...
huenda akawa Mathai , ailinde mazingira ,
huenda akawa Makeba ,nyimbo nzuri akatunga ,
huenda akawa Nyerere ,aongoze Tanzania,
huenda akawa Mandela ,mkombozi wa Afrika , nakuomba nerea usitoe mimba yangu ee Mungu akileta mtoto analeta sahani yake , leta nitamlea usitoe mimba yangu ee Mungu akileta mtoto analeta sahani yake .......$@!??!/"'::#
nakuomba nerea , nerea, nerea ,nerea ,nerea , usitoe mimba yangu ,
nerea ,nerea ,nerea ,nerea ,nerea usitoe mimba yangu.
huenda akawa Kagame ,atawale
Jaramogi Odinga ,tuungane
huenda akawa Tom Mboya
huenda akawa Rudisha
huenda akawa Malaika ,Mungu ametupatia
huenda akawa sauti sol
huenda akawa amos and josh