Dunia Njia Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2009
Lyrics
Dunia Njia - Bushoke
...
kila mwanadamu mapungufu yake ye mwenyewe na Mola ndo anajua
kila
kila mwanadamu mabaya yake ye mwenyewe na Mola ndo anajua
kila
kila mwanadamu matatizo yake ye mwenyewe na Mola ndo anajua
kila
kila mwanadamu machungu yake ye mwenyewe na Mola ndo anajua
kila
jipe moyo usikate tamaa aaah kumbuka tunaishi kkwa nguvu ya mola
jipe moyo usikate tamaa aah kumbuka na wewe umeumbwa
haya maisha yasije kukuchanganya aah ukaabudu mwengine ukamwacha mola
wale wenye mali nyingi wanamwona aliekosa kama mnyamaa (mola wasamehe)
nasisi masikini kutwa tunapishana kwa waganga (mola tusamehe)
wanasiasa wanasababisha tunauana aaah wenyewe kwa wenyewe
familia zao wao ziko salama yoyoyosie tunauawa wenyew
oooooh
mola wasamehe
wanaadhulu mafukara ikiwa wao matajiri yoyoyo(mola wasamehe)
wanadiriki hata kuua ili wawe matajri yoo(mola wasamehe)
oooh oooh yeyeye iyeeee
dunia aah tunapita wew
pesa magari majumba takataka zote tutaacha
utavunaaa ulichopanda wew
kama ulipanda mema utakutaa pepo utavuna kama ulipanda mabaya utakuta moto utachomwa
wanandhani Mungu abagua tajiri naa fukara oooh
yeye hana kubagua wote wake
kwa Mungu wote wendawazimu na titamu ee
yeye hana kubagua wote wake
unadhani utaulizwa ulikuwa na magari mangapi
unadhani utaulizwa wew ulikuwa nanni duniani
undhani utaulizwa baba yako nani au wew naniii
eeeh mama yeee komoliyee
yesu masi yarabiii issa emesema ndie amaesema sio mimi niliesema eeeh
tajiri kuona ufalme wa mbigu ni ngama kwenye tundu la sindano
mama yoyo mama wew
hakikisha mali zako za halali
hakikisha unapenda nduguzooooo
hakikikisha unajua utu ni nini
zisije pesa zako mwenyewe zikakuchoma mwenyewe eeweeweeeh
Aaah dunia mama aah duniaaa
dunia aah tunapita wew
pesa magari majumba takataka zote tutaacha
utavunaaa ulichopanda wew
kama ulipanda mema utakutaa pepo utavuna
kama ulipanda mabaya utakuta moto utachomwa utachoomwa
nsazaloni nsubelee subeleee subelee
baba Lida baba neira baba aisha
ntamiesei (mtoto wa sheenx3)