Viza ft. Young D Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2016
Lyrics
Viza ft. Young D - Navy Kenzo
...
Yaeh......navy kenzo .....
You speak for no reason....nigga
Tired of something
Young D ...haah.... yeah..
Aliyejuu ametupa viza
Win win win, ametubatiza
Huhh let’s go mdb baby
Nigga! Wamenipa viza,
Wamenipa
Wamenipa viza
wamenipa viza (blah blah blah)
Uwezo ninao
vipi nifeli, wamenipa
Wamenipa viza
wamenipa viza (blah blah blah)
Nilipoanza kuimba
Niliomba viza
nikaambiwa sifa sina
Nikaona ujinga
Isiwe shida kwanza nikuze jina
Shida ukiwa undergound
mana mziki unadharau
Hawashikiki hawa wadau
Na bila Kiki we ni nyang’au
Na Sasa ivi nikipanda stage
Nawashika
Iwe club au taifa
Utasikia weyo weyoo weyoo huhu
Na venye Tz nawakilisha
hadi haijutii kunipa viza wow
Eeh eeh eehh eeh
Weyo weyo weyooo
Alhamdulillah hii ni miujiza
Asante mungu Asante jesus
Weyo weyo weyoooo
Eeeh eeeh eeh
Eeeh eeh eeh eeh
Ehhhhh
Wamenipa viza
Wamenipa
wamenipa viza
Wamenipa viza
Clap clap clap
Uwezo nonao, vipi nifeli
Wamenipa ,wamenipa viza
Wamenipa viza
Clap clap clap
I got my destiny
to fight for the peace in my family
Who got the pastor praying?
For the African peace and the enemy
I come for my destiny,
who felt am a bit of an ass in me
You care for the least, I care for the besties
Common things don phase me
Cheki na mimi, unakuwa na visa na mimi
Kila after unabishana na mimi
Navy kenzo we above in a minute
Alie juu, kanipa viza
Si miujiza ooh nah
Aliye juu , kanipa viza
Kanibatiza ooh yaeh
Huhu saivi nikipanda stage
Nawashika
Iwe club au taifa
Utasikia
Weyo weyoo weyoo
Na venye Tz naiwakilisha
Hadi haijutii kunipa viza wow
Eeeeh eeeeh eeeeh eeeehhh
Weyo weyo weyooo
Nigga wamenipa visa
Wamenipa
Wamenipa viza
Wamenipa viza
Clap clap clap
Uwezo ninao ni vipi nifeli
Wamenipa
Wamenipa viza , wamenipa viza
Clap clap clap
Aahaaahah
Navy kenzo,huh above in a minute
Aliye juu, yeah ametupa viza
Huh
Aliye juu , eh ametubatiza
Young D aika nahreel
Sh**t