Loading...

Download
  • Genre:Afropop
  • Year of Release:2024

Lyrics

Lonely ft. Nandy - Yammi

...

instrumental

verse 1

aaaah aaah ×3

la la la la

la la la la

la la la la

aah

mafeeling records

iwe Kwa gongo

ama Kwa panga shoka

penzi nimelitupa mbali

Yani molongo

moyo umenipachuka

imenisulubu zohari

te te te mi najongea

kwny ulingo wa mapenzi nakimbia

zote Kwa zote najifungua

chapter ya mapenzi nmeifunga

ooh my god

my god

ulinipa amani penzi kisodo

nikawa na Imani

mengi madoido

nikajua mi napendwa

nikavimba bichwa

oh I go

nayaweka kando makando kando

yamenichosha mengi misondo

hii safari mi nmemaliza mwendo

(chorus)

aaaah taratibu

gonjwa langu lishapata tabibu

nimedouble lika sipati tabu

ooh tabu

maajabu nmezoea

wala Sina ghadhabu

kamoyo tu kana feel vibe

I don't know ×2

ila I'm so lonely

la la la×2

I'm so lonely

la la la ×2

I don't know ila

na enjoy kuwa lonely

verse 2

oh Bata tu nipe give one shot

ninywe kamnyweto Hadi nishike magoti

nipo free to be single so sweet ×2

aaah mashaAllah yalishapona majeraha

roho kwatu imejaa furaha

kula ujana kula raha

(repeat chorus )

aah mashaAllah yalishapona majeraha roho kwatu imejaa furaha

kula ujana kula raha

I'm so lonely

I don't know ila naenjoy kuwa lonely

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status