Namchukia Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Namchukia - Yammi
...
Uzuri sihadithiwi nayaona
Haya hapa nayaona
Mabaya yako kwa macho yangu nayaona
Sio kwamba napenda kua king'ang'anizi
Tatizo mazoe (nimekuzoeea)
Sidhani kama ntaponaa
Napiga simu namba inatumika (kila dakika)
Kumbe ameniblock ameniblacklist (amenichoka)
Roho inajenga sumu ata nikifika mbinguni(nimechoka)
Mungu aliumba mapenzi lakini yanawatu wakee
Wallah namchukiaa
Kumfahamu najutia
Mmh! Wallah namchuukiaa
Kumfahamu najutia
Unayofanya si unaona uko sawa basi kazana
Si unapenda hivi navyolia nakung'ang'ana
Haujui ustaharabu unajua ni kufoka nakutukana
Na hivi nilivyo bubu mama kanifunza nidhamu na kukaa kimya
Sio kwamba napenda kua king'ang'anizi
Tatizo ni mazoea
Nimekuzoea sidhani kama ntapona
Napiga simu namba inatumika (kila dakika)
Kumbe ameniblock ameniblacklist (amenichoka)
Roho inajenga sumu ata nkifika mbinguni (nimechoka)
Mungu aliumba mapenzi lakini yanawatu wake
Wallah namchukia
Mmh Kumfahamu najutia
Wallah namchukia
Kumfahamu najutia