Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2004

Lyrics

Moto Chini - Sugu (TZ)

...

yeeah

he is back

ah nobody is back

I have been here I have been around

been around the world

dar es salaam ,Nairobi , Mombasa, Bujumbura Kigali kishansa

dalala Kwa matatu keep it hit

verse 1****

Toka bongo mpaka UK na Kisha narudi Tena,

Nairobi na Kampala nawakilisha ile Kwa sana ,

maneno bado ni yes naona kama hakuna no,

Sasa match ni international sugu ni chama kubwa kama arsenal,

Bado Niko dimbani na mic Iko mkononi,

labda uku nilipo nifateni ,

mana naona inaonekana ntachelewa kushuka chini,

aah inashangaza kuona muda unavyokwenda,

na kucheza mchezo wa hip hop ndo kitu nachokipenda,

cheki maplayer haters navyowapiga denda,

ooh ooh ni VIP Kila kiwanja ninachokwenda,

Kwan hatari kitu gani,

Toka wakati Niko hewani BBC extra 1,

na machizi wangu wote Sasa zidisheni hasira,

ni wakati wa kumaliza ule utumwa wa kibiashara,

Sasa ni muda mrefu wanatufanya mafara,

tunaingiza mabilioni wanaonga mademu Vitara,

hamuwezi kunitisha katika kuthibitisha

nawawasha na

tafadhali sahauni kuhusu sugu,

mna Bado atazidi tu kuleta mavurugu,

mziki mpaka makamo kama mzee mzima ngurumo,

na kunyonga Mimi simo,

labda ganja zamani kidogo nilikuwemo,

na ndo mana mpaka Leo Bado inanipa misimamo

aaah moto chini

*****chorus****

aaaaaaaah

sugu moto chini ( eeeeeeh)

sugu moto chini (aaaah)

sugu moto chini ( aaah aah aaah aaaaah)


sugu moto chini ( eeeeeeh)

sugu moto chini (aaaah)

sugu moto chini ( aaah aah aaah aaaaah)

sugu moto chini ( eeeeeeh)

sugu moto chini (aaaah)

sugu moto chini ( aaah aah aaah aaaaah)

sugu moto chini ( eeeeeeh)

sugu moto chini (aaaah)

sugu moto chini ( aaah aah aaah aaaaah)

aaah aaah aaah aaaaah aaah aaahaah aaah aaaah ni moto chini

aaah aah aaaah aaaah aah ahaaaaa

aaaah aaaah ni moto chini

verse 2 *****$

Niko fiti ile fiti,

na social Mimi street,

na Bado nawakilisha ni muziki na maisha,

sio rahisi kukatisha,

nafika mpaka Bamako sio tu st fransicko ,

huko kote nafika katika kusaka mshiko,

na mapromoter Koko kokote kule mliko,

sugu Sasa anamiliki bunduki,

sitaki Tena amani palipo na deal feki,

milango mliyofunga Sasa yote inafunguka,

na wakati nyie mnanuna ona Mimi Bado nacheka,

laki Moja na nusu kitu gani,

kwanza Mimi nakosa Nini,

kwani hata nisiporap deal zangu ni milioni

moja mbili tatu nne mpaka tano,

kama hupigi nyimbo zangu redioni hamna maneno,

Mi nilianza kurap kabla ya fm

wakati jabir wa kati ni mkurugenz kwenye am,

na watu walinifahamu

na wengine wakasema sugu anaponda mademu,

Bado narekebisha na maisha Bado matamu,

na mama Bado anapata mahitaji yote muhimu,

sio p na ni majina mpaka buti,

cheki ambayo Niko fit na nnavyocheza na beat ,

kwanza kule na huku nawapa dole la kati,

ni nani ( sugu) ,

na nani (wewe tu)

***chorus***

aaaaaaaah

sugu moto chini ( eeeeeeh)

sugu moto chini (aaaah)

sugu moto chini ( aaah aah aaah aaaaah)


sugu moto chini ( eeeeeeh)

sugu moto chini (aaaah)

sugu moto chini ( aaah aah aaah aaaaah)

sugu moto chini ( eeeeeeh)

sugu moto chini (aaaah)

sugu moto chini ( aaah aah aaah aaaaah)

sugu moto chini ( eeeeeeh)

sugu moto chini (aaaah)

sugu moto chini ( aaah aah aaah aaaaah)

aaah aaah aaah aaaaah aaah aaahaah aaah aaaah ni moto chini

aaah aah aaaah aaaah aah ahaaaaa

aaaah aaaah ni moto chini

aaaaaaaah

sugu moto chini ( eeeeeeh)

sugu moto chini (aaaah)

sugu moto chini ( aaah aah aaah aaaaah)


sugu moto chini ( eeeeeeh)

sugu moto chini (aaaah)

sugu moto chini ( aaah aah aaah aaaaah)

sugu moto chini ( eeeeeeh)

sugu moto chini (aaaah)

sugu moto chini ( aaah aah aaah aaaaah)

sugu moto chini ( eeeeeeh)

sugu moto chini (aaaah)

sugu moto chini ( aaah aah aaah aaaaah)

aaah aaah aaah aaaaah aaah aaahaah aaah aaaah ni moto chini

aaah aah aaaah aaaah aah ahaaaaa

aaaah aaaah ni moto chini

lyrics by @dennyka1 ( insta)

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status