Ntatoboa Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Ntatoboa - Appy TZ
...
Sometime nalia, navumilia
Nayopitia, ukubwa ndo huu
Yesu na Maria, nikikosa njia
Naupiga moyo konde, namwachia Mungu
Uuuuuh uuuuuh
Uuuuuh uuuuuh
Uuuuuh uuuuuh
Uuuuuh
Nilkopata na kukosa namwachia Mola
Zile ungaunga mwana yani hola hola
(Hola, hola, hola)
Ganda la ndizi kuteleza staki mambo ya kitonga
Ndo mana ninapambana ili mambo yawe poa
Ntatoboa, toboa, toboa
Siibi cha mtu, cha mtu dhambi
Cha mtu dhambi. Bodaboda za buku
Naamini ipo siku, ntapaki Range
Ntapoa, ntapoa, ntatoboa
Sometime nalia, navumilia
Nayopitia, ukubwa ndo huu
Yesu na Maria, nikikosa njia
Naupiga moyo konde, namwachia Mungu
Uuuuuh uuuuuh
Uuuuuh uuuuuh
Uuuuuh uuuuuh
Uuuuuh
Siko peku viatu vyangu ndo utajiri naomiliki
Labda kesho ntajipata mkeka wangu utatiki
Ntatoboa, toboa, toboa
Kila siku nina kipengele,
Walimwengu hamuishi kelele
Bora tu mi nisake michele, michele, michele
Ooh mi ninahenyeka daily
Nilowaacha nyuma hawataki nfike mbele
Nikianguka kwao ndo sherehe,
sherehe, sherehe
Siibi cha mtu, cha mtu dhambi
Cha mtu dhambi. Bodaboda za buku
Naamini ipo siku, ntapaki Range
Ntapoa, ntapoa, ntatoboa
Sometime nalia, navumilia
Nayopitia, ukubwa ndo huu
Yesu na Maria, nikikosa njia
Naupiga moyo konde, namwachia Mungu
Uuuuuh uuuuuh
Uuuuuh uuuuuh
Uuuuuh uuuuuh
Uuuuuh
Uuuuuh uuuuuh