Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2024

This song is not currently available in your region.

Try the alternative versions below.

Lyrics

Okay - Femi One

...

Usipunguze joto

wacha Moto ifanye kazi

shughuli Ka imejipa piga pamba pasi

rende Kwa senke ni mwendo Kasi

ukipatikana wrong side blanda basi

panga inapapasa shingo

kata ego ama utakatwa shingo

ukibleki unaeza nyangangwa figo

unatoka Nairobi anakuding'o

jungle si miti unaexpect

Ka bei yangu hufiki haunirespect

unaniobjectify naku object

nakuset up nakuoffer Kwa onset

ruthless kama Cynthia

kuna face fulani hatuonyeshangi media

great power kila mtu atakusimpia

bado ikipotea sempes watakukimbia

keep jogging mpaka nichoke

keep balling labda nisote

hii ni Kenya lazima tukope

I'm okay Ka kwake ni okay

hio ndio foreplay so siwezi complain

Niko mboka shift longday

hii ni Kenya lazima tukope

I'm okay ka kwake ni okay

Keep jogging mpaka nichoke

Keep balling labda nisote

hii ni Kenya lazima tukope

but I'm okay Ka kwake ni okay

hio ndio foreplay so siwezi complain

Niko mboka shift longday

hii ni Kenya lazima tukope

but I'm okay Ka Kwake ni okay

Ka unaeza adapt ñdio utasurvive

we dedwo kama uko alive

unastrive ama life inakupipe

unajilike ama likes zinakuhype

screen light unalenga daylight

health-wise direction ni haywire

worth naiongeza percentaya

bila haya unaeza jenga empire

so unajitokeza Ka kivinishai

we utanijudge mi ndio najidefine destiny set Mungu ñdio alidesign

usiniweke Kwa box Mungu mi huniconfine

freedom ya Paulo na Sila mi bado sina

nasafisha mwili nikijenga jina

Niko idhaa ya milli ya wajinga sina

mpaka ikuwe mingi nibandikwe cleaner

Keep jogging mpaka nichoke

keep balling labda nisote

hii ni Kenya lazima tukope

I'm okay Ka kwake ni okay

hio ndio foreplay so siwezi complain

Niko mboka shift longday

hii ni Kenya lazima tukope

but I'm okay Ka kwake ni okay

keep jogging mpaka nichoke

keep balling labda nisote

hii ni kenya lazima tukope

but I'm okay Ka kwake ni okay

hio ndio foreplay so siwezi complain

Niko mboka shift longday

hii ni kenya lazima tukope

but I'm okay Ka kwake ni okay

...........

More Lyrics from Femi One Songs

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status