Zoba Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Zoba - D Voice
...
D VOICE ZOBA
BEAT
mr LG
Kama kosa la macho,atanikiziba nisioneee ndani ya moy Wang namuona yeye
ooooh
kimasomaso wenye wivu mukomeeee, mtaambulia matandu solo nala na yeyeee
namkisem ananichuna nntampa mpaka B.O.T
kama penzi taaaluma base yeye anadigriiil
kwake simezi mezi azuuma kitu saaf og, midomo itawanuk kwa kununa mngetafuna ata bigijiii
aaaah
yey ni Wang mimi mimi ni wake yeye wengine saa wa nini sitaki nichezewe*2
Mimi kwake zooba (Mimi kwake zoba)
Mimi kwake jiinga(Mimi kwake jiinga)2
Vya ndani ni siri kanikataza nisisem Ila nngewaambia raha anazo nipa,
kunapo alfajirii anparama nazi ya ugebe uku tunasinziaaaa mpaka tuna fikaaaaa
alafu darling nkupe siri me kwako chaaali moyo na mwili, kama magarii we ndo tajiri
usije ukaenda mbali utaniadhiri
Aminaa aminaaa na iwe kheri amina
Daimaa daima nkuvishe shela daima*2
Mimi kwake zoba(Mimi kwake zooba)
Mimi kwake jiinga (Mimi kwake jiinga)2
written by
official n@n@@h