Mungu Baba Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Mungu Baba - D Voice
...
Hmmmmm
Oooooooh
Mwanangu leo nina stress kibao, yaani akili yangu haiko sawa.
Mwanangu kichwa kina vitu kibao, yaani naelekea kupagawa.
Baba mwenye nyumba ila kodi nishalewea, hataki maelezo yaani amenitimua, mubebe mchumba wangu ameniibia kisa sina hela yaani amenikimbia.
Basi mungu baba nikopeshe milioni kumi nikifa nitakuja nalo.
We sir Gody nikopeshe milioni tano nikifa nitakuja nalo.
Hizi dharau zinanichosha, na ndio maana mungu wangu nakukopa onaaaaa
Ooh Mwajuma juzi alisema atakuja ghetto. (Hakujaaa)
Hakuja mchizi mi nikala dettol (zarau)
Amenifanya kama kichekesho (hakuja)
Labda ...........
Wekaaaaa
Ayaaa twende muone, maajabu ya Dunia.
Anaogopa mende ila anapenda kifo Cha mende, X2
Ayaah twende bingiri chali chali, kifo Cha mende chali, mama bingiri chali chali, kaka juu ya dari
Yaani mtoto wa watu sina nuksi mteke mteke, nikikupenda kwanza lazima unenepe X2