Bora Iwe ft. Baraka The Prince Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2018
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Bora Iwe - Rj The Dj
...
LYRICS
iiiiiii laizer gang gang Baracka the prince Rj the
dj all day baby niii iii iieeeh eyoooo laizer burna.
nikisema nilipize ubaya huu uuuh kwangu haina maana na nitabaki
kuifanya siri yangu uuuh kwako ubaya,
umenifanya nijute imekuw ni tabu mi kwangu kipi nilichokukosea
ukaweka adhabu ya juu kwangu au kisa kiokote ikashusha thaman ya
pendo langu, utaponiona popote usisite tuma salam kwang nitapokea...
Bora iwe...
oooh mwenzako mi...
bora iwe niwe peke yang...
ww ni mwiko bora iwe acha nafunzo kwangu bora iwe oogh jamani
bora iwe Mimi nitamwomba Mungu anipe wang kuliko yako machungu...
eeeh eeh wooooghh mmmmh mmmhh
Mengi aibu mi nashindwa hata kuyasema kama nikijaribu nitachekwa na
dunia nzima madharani mdomo minitafunga kuyaongelea wala usidhani kwa
ubaya mimi ntajiaribu kukuongelea Bora niwe peke yangu japo machungu
kuondoka kwako Mimi nitamwachia Mungu yapone yangu yamefika itimisho
najua ntalia peke yangu uku mwenzangu utakuwa na mwenzako
basi kalinde heshima yangu shida zangu zibaki siri yako oooh
Bora iweee iwe ooh mwenzako niwe peke yangu wew ni mwiko bora iwe
niwe peke yangu oooh jaman mm ntamwomba
Mungu anipe wang kuliko yako machungu bora iwe...
mmmh mhhh
Kufungwa sawa ni sawa ila nitakunywa dawa niwe sawa umeniacha
majalalani njaa nimelala japo nilikupenda sana yote sawa ukubwa sawa
ni sawa ila nitakunywa dawa niwe sawa umeniacha
majalala nimelala japo nilikupenda sana yote sawa i luv you eeeh
Bora iwe mmmmhh mhhh eeh Kiboko yao